Share

MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA KWA KISHINDO DAR

Share This:

Leo Julai 19, 2019 mwenge wa uhuru umepokelea jijini Dar es salaam ukitokea mkoa wa Mjini Magharibi.

Mwenge huo utakimbizwa ndani ya jiji la Dar Es salaam na kuzindua miradi takribani 35 na mbio zake zitamalizika Julai 23.

Leave a Comment