Share

Mwigulu Nchemba baada ya kukabidhi ofisi leo “Bodaboda wanapata tabu”

Share This:

July 10, 2018 Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr Mwigulu Nchemba amekabidhi rasmi ofisi ya Wizara hiyo kwa Waziri mteule mpya Kangi Lugola mkoani Dodoma.
Nchemba ameongelea pia baadhi ya mambo ambayo kama Wizara ilianza kuyashughulikia na angetamani kuona yakitekelezeka ikiwemo ahadi ya uandaaji wa kanuni mpya ya utozaji faini kwa vyombo vya moto ikiwemo bodaboda.

Leave a Comment