Share

MWIJAKU “Mc Pilipili ameshindwa kumhudumia mtoto, kimaisha hawezi kunipata”

Share This:

Baada ya Mc Pilipili kuonesha hisia zake za maumivu aliyoyapata kuhusu mpenzi wake wa zamani Nicole Franklyn kuolewa na Mwijaku na kisha kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram, hatimaye Ayo TV imempta Mwijaku ambaye kazungumza na yeye kwa upande wake kuhusu hilo na kusema Mc Pilipili ameachwa na Nikole kwa sababu halikuwa hamhudumii.

Leave a Comment