Share

Naby Keita: Mchezaji aliyewavutia Liverpool

Share This:

Naby Keita alianza msimu wa 2016-17 kama mchezaji asiye na umaarufu nchini Ujerumani, lakini alikamilisha msimu huo jina lake likiwa katika kikosi cha timu ya mwaka Bundesliga.

Leave a Comment