Share

Naibu Mkurugenzi wa (DW) ametembelea vyombo vya habari vya ITV.

Share This:

Naibu Mkurugenzi wa Kituo cha habari cha kimataifa cha Deutsche Welle (DW) chenye makao makuu yake Ujerumani Guido Baumhauer ametembelea vyombo vya habari vya ITV,RADIO ONE,CAPITAL TV NA CAPITAL RADIO lengo ikiwa ni kujifunza,kukuza na kuendeleza ushirikiano ulipo baina ya vyombo vya ITV na DW.

Leave a Comment