Share

NAIBU WAZIRI AWAPA ONYO WANAFUNZI “MIKOPO ZERO MARUFUKU”

Share This:

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha amesema kuanzia leo anapiga marufuku matumizi ya neno Mkopo Zero kwani haiwezekani Serikali ijitahidi kuwatafutia fedha Wanafunzi kwa ajili ya mkopo kisha wao waseme Mikopo Sifuri.

Leave a Comment