Share

Namsifu Dogo Janja kwa uchaguzi mzuri – Mc Pilipili

Share This:

Baada ya msanii wa Bongo Flava Dogo Janja kufunga ndoa na Irene Uwoya, Mc Pilipili amesema msanii huyo amefanya uchaguzi mzuri.

Leave a Comment