Share

Nandy afuata nyayo za Alikiba: Aja na vipodozi vyake/ Awapa somo wasanii

Share This:

Msanii wa Bongo Fleva, @officialnandy
ameingia ubia na kampuni ya Grace Products na atakuwa ni moja ya wamiliki wa Kampuni hiyo na jina lake litatumika pia kwenye bidhaa za vipodozi za kampuni hiyo.

Leave a Comment