Share

Nandy afunguka alivyofanya show za Fiesta bure mwaka jana

Share This:

Mchumia Juani hulia kivulini. Msanii Nandy amefunguka jinsi alivyoweza kufanya show tano za Fiesta bure mwaka jana kwa kujituma mpaka kumpelekea kuanza kulipwa.

Leave a Comment