Share

Nandy ajizawadia BMW mpya

Share This:

Leo November 9, 2018 ni siku ya kuzaliwa African Princess Nandy ambapo ameamua kujizawadia gari aina ya BMW pamoja nakuifanya siku hii kuwa special ya kuachia rasmi Album yake ya “The African Princess”.

Leave a Comment