Share

Nandy amekuletea Sabuni na Mafuta yanayomfanya aonekane natural

Share This:

Msanii Nandy “African princess” kuja na bidhaa zake za sabuni na mafuta (Nandy Beauty soap na Nandy Petroleun Jelly) ambapo amezitambulisha bidhaa hizo rasmi leo May 17,2018 katika viwanja vya Escape One Dar Es Salaam akishirikiana na Grace Products Ltd

Leave a Comment