Share

Nandy amemuachia Mchumba wake apange tarehe ya harusi yao

Share This:

Leo May 17,2018 tunayo story kutokea kwa Msanii wa muziki nchini, NANDY, ambapo ametangaza rasmi bidhaa zake mwenyewe zikiwa na jina lake ikiwemo Sabuni na Mafuta…

Katika uzinduzi huo Nandy aliulizwa ni lini yeye atafunga ndoa Bonyeza PLAY kusikia jibu alilotoa

Leave a Comment