Share

“Nani anayetegemea Rais Magufuli atafanya hivi?” Profesa Ibrahim Lipumba

Share This:

Leo Oktoba 9, 2018 Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa kuwa kitendo cha wanasiasa kuhama vyama mbalimbali imeanza katika kipindi cha hivi karibuni ambapo kama wanasiasa hao wanaohama vyama wasingekuwa wanapewa nafasi ya kugombea tena katika vyama wanavyohamia kusingekuwepo na wimbi kubwa la watu wanaohama vyama.

Leave a Comment