Share

Nani kuwa Rais ajaye Malawi?

Share This:

Malawi inafanya uchaguzi wake mkuu leo (21.05.2019) kumchagua rais mpya pamoja na wabunge. Rais wa nchi hiyo Peter Mutharika aliye na umri wa miaka 78 anawania muhula wa pili huku akikabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa makamu wake na mgombea wa chama kikuu cha upinzani.

Leave a Comment