Share

Napambana mwenyewe bila Yamoto Band – Beka Flavour

Share This:

Mmoja kati ya wasanii wanaounda Kundi la Yamoto Band, Beka Flavour amedai kila msanii wa kundi hilo ameamua kuja na project yake binafsi ili kutoa burudani ya kutosha kwa mashabiki wao

Leave a Comment