Share

“Nashindwa kuelewa kama walinituhumu kweli nimeiba cheche’ – Ommy Dimpoz

Share This:

Mwimbaji wa Bongofleva Ommy Dimpoz alikaa kwenye On Air with Millard Ayo na kuzungumza ishu mbalimbali baada ya kusaini kuwa chini ya management ya Rock Star ikiwemo ishu ya kutuhumiwa kuiba cheche.

Leave a Comment