Share

“NASSARI KWENDA CCM HAIKUNISHTUA, NIKIDANGANYIKA NITAONDOKA NA NGUO ZANGU” ESTER BULAYA

Share This:

Siku chache baada ya aliekuwa Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari kuhama Chadema na kwenda CCM, Ester Bulaya amesema kitendo cha Joshua kwenda CCM hakikumshtua kwa kuwa hata yeye aliwahi kuwa CCM

Leave a Comment