Share

Nasty C ameingia Dar jioni hii, kawataja Rayvanny, Diamond, Nandy

Share This:

Ni July 15, 2017 ambapo rapper kutoka Afrika Kusini Nasty C aliyeshirikishwa kwenye single hit Coolest Kid in Africa ya Davido amewasili Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya show usiku wa leo.

Leave a Comment