Share

Nay wa Mitego akusanya kijiji Burundi, ashindana na Aslay

Share This:

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego pamoja na muimbaji Aslay wameonekana kufanya vizuri katika show zao mbili tofauti zilizofanyika weekend hii. Kila mmoja ameonekana kufanya vizuri zaidi baada ya kila mmoja kupost clips za video za show yake.

Leave a Comment