Share

NCCR yataka maamuzi ya wanzazibar kuheshimiwa.

Share This:

Uongozi wa chama cha NCCR Mageuzi umeelezea kusikitishwa na hali ya sintofahamu inayoendelea visiwani Zanzibar huku ukiitaka serikali ya Zanzibar kuheshimu maamuzi ya wanzazibar.

Leave a Comment