Share

Ndalichako afunga mjadala wa Elimu ya msingi ni miaka saba au sita

Share This:

Leo June 13 2018 bungeni Dodoma swali lililoulizwa ni pamoja na la mbunge wa viti maalumu ‘CHADEMA’, Susan Lyimo ambaye ameomba mwongozo wa Spika kuhusu kutumika kwa mitaala ya Elimu ya msingi ambapo amesema mitaala iliyopo ni ya elimu ya msingi ya kuanzia la kwanza mpaka la sita.
Akijibu Mwongozo huo Waziri Ndalichako amesema hakuna waraka wowote uliotolewa ambao Elimu ya msingi ni Miaka sita na sheria haijabadilika inaonyesha kwamba elimu ya msingi ni miaka saba.

Leave a Comment