Share

‘Ndoa za watumishi waliohamia Dodoma zimevunjika’-Kubenea

Share This:

June 13 2018 baadhi ya wabunge wamepata nafasi ya kuchangia kuhusu azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa uamuzi wa kuendeleza mji wa Dodoma na kuupa hadhi ya Jiji lilillotolewa na mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene.
Kati ya wabunge waliopata nafasi ya kuchangia ni mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ambapo amesema maamuzi hayo yamekuwa ya haraka zaidi na Dodoma haijawa tayari kufanywa kuwa jiji na Macao makuu hivyo kuitaka Serikali kuandaa kwanza Mazingira ya miundombinu.

Leave a Comment