Share

Ndugu wawili wafanyabiashara wenye asili ya Asia washtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi Kisutu.

Share This:

Ndugu wawili wafanyabiashara wenye asili ya Asia wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa makosa ya utakatishaji fedha, kugushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu zaidi ya shilingi bilioni 2.66.

Leave a Comment