Share

NEMC imesimamisha migodi 2 ya kuchimba miamba na kusaga kokoto Pwani.

Share This:

Migodi miwili ya kuchimba miamba na kusaga kokoto iliyopo kijiji cha Makombe wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, imesimamishwa kutofanya shughuli zake na baraza la taifa la usimamizi wa mazingira NEMC kwa kutokuwa na vibali na kusababisha vifo vya mifugo zaidi ya mia moja baada ya kudaiwa kunywa maji yenye kemikali kutoka katika moja ya migodi hiyo.

Leave a Comment