Share

Ngono na Shahada. Nani wa kulaumiwa?

Share This:

Habari za kuhusika kwa ngono katika matokeo, huripotiwa mara kwa mara katika vyuo vikuu mbali mbali. Ili kufahamu ukubwa wa tatizo hilo la wanafunzi kutaka alama za juu huku wakihiari kufanya mapenzi na wahadhiri wao katika vyo vikuu afrika mashariki , mwenzetu Bashkas Jugsodday alizungumza na wanafunzi wa chuo kimoja kikuu cha nchini Kenya. Awamu ya pili ya mjadala huu utazungumziwa kesho, Jumatano 10/01/2018.

Leave a Comment