Share

Ni kweli Flora kasema Mwanaume asiyeridhisha kwenye mapenzi aachwe?

Share This:

Siku kadhaa zilizopita kulikuwa na taarifa ambazo zilichukua headlines mitandaoni zilizomnukuu mwimbaji wa Injili Tanzania ambaye aliwahi pia kuwa mke wa Emmanuel Mbasha, Madam Flora akisema “hakuna haja ya kuwa na Mwanaume asiyekuridhirisha kinyumba”

Leave a Comment