Share

Ni vipi unaweza kulisha raia katika jiji lenye misongamano?

Share This:

Jijini Lagos shamrashamra si haba. Charles Gitonga ametembelea Nigeria kukutana na wajasiriamali wa mchuzi spesheli kujifunza jinsi wanavyo pambana.

Leave a Comment