Share

“Nikibaini kiongozi anakataa kupitisha barua nitamshugulikia” –Waziri Mkuchika

Share This:

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora George Mkuchika ameagiza mamlaka zote za Serikali za ajira nchini wakiwemo viongozi wanaowakatalia watumishi kupitisha barua za kuhama ikiwa ni kinyume na sheria za utumishi.

Leave a Comment