Share

Nikimuangalia Vanessa naona kuna kazi ya ziada – Lulu Diva

Share This:

Msanii wa Bongo Flava, Lulu amefunguka na kusema Vannesa Mdee ni msanii ambaye akimuangalia anajiona bado anatakiwa kuweka nguvu zaidi katika muziki wake.

Leave a Comment