Share

“Nilianza Makjuice nikiwa na mtaji wa shilingi 700 (dola 3)pekee, Makoye Filbert

Share This:

Makoye Filbert akijulikana zaidi kama @Makjuice_tz ni kijana wa kitanzania ambaye anafanya vizuri katika biashara ya kuuza juice. Alianza na mtaji wa dola 3 pekee, lakini sasa anasambaza juice zake kila kona ya jiji la Dar es Salaam akiwa na mafanikio makubwa.
#makjuice
#Filbertmakoye
#vijanawajasiriamali

Leave a Comment