Share

Nimepewa taarifa Lowassa atapandishwa mahakamani – Tundu Lissu

Share This:

Tundu Lissu amefunguka kwa kudai kuwa amepewa taarifa kwamba Edward Lowassa atapandishwa mahakamani kwa kosa la uchochezi.

Lowassa amekuwa akihojiwa na ofisi ya DDP kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi aliyoyatoa mwezi mmoja uliopita katika Iftar aliyoalikwa na mbunge wa Ukonga, Waitaka.

Leave a Comment