Share

‘Nimepokea taarifa za kutaka kuuawa kwa M/kiti’ -Mbunge Mchengerwa

Share This:

Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa alisimama Bungeni Dodoma leo April 19, 2017 ili kuuliza maswali kwa serikali ambapo pia alilieleza bunge kuhusu kupokea taarifa za kutaka kuuawa kwa Mwenyekiti Nyambunju katika jimbo lake baada kuvamiwa na majambazi.

Leave a Comment