Share

Nina ishi vipi katika mji uliozungukwa na wadunguaji (snipers)

Share This:

Kutokana na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe baadhi ya miji imegeuka kuwa magofu huko Yemen. Waliobaki wamezungukwa na wadunguaji toka pande mbili tofauti. Je wanaishi vipi hapa?

Leave a Comment