Share

“Nipo tayari kujiuzulu ubunge, tunawaumiza watu” –Mariam Ditopile

Share This:

Mbunge wa viti maalum CCM Mariam Ditopile ameilalamikia Serikali kwa kushindwa kusimamia vyema sekta ya kilimo na kuwaacha wakulima wake wakiumia kutokana na sheria mbovu zilizowekwa na Serikali ambazo zinawaumiza wananchi ikiwemo zuio la kuuza mazao nje ya nchi na kuwasababishia hasara kubwa.

Leave a Comment