Share

Nisha: Nimenunua Nyumba na Gari nje ya filamu/ Naishi miezi 3 China..

Share This:

Msanii wa filamu Salma Jabu aka Nisha amedai biashara zake zimeweza kumpatia mafanikio ya haraka ambapo mpaka sasa tayari ameshanunua nyumba na magari ya kutembelea.

Leave a Comment