Share

Njama za kuibadili katiba Uganda

Share This:

Ujerumani imetetea Operesheni za polisi dhidi ya waandamanaji wakati wa mkutano wa G20. Upinzani wamtaka Waziri Mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif kujiuzulu. Na Kizza Besigye aonya dhidi ya kuifanyia mageuzi katiba ya Uganda. Papo kwa Papo 11.07.2017.

Leave a Comment