Share

Nwankwo Kanu: Tusinyamazie maradhi ya moyo tena Afrika

Share This:

Nwankwo Kanu alikabiliana na matatizo ya moyo wakati wa uchezaji wake na anasema wakati umefika kwa hatua kuchukuliwa kuhusu maradhi ya moyo uwanjani na nje ya uwanja.

Leave a Comment