Share

Nyalandu amjibu Kigwangalla… amuandikia Sentensi 7

Share This:

Saa chache tu baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla kuagiza Jeshi la Polisi na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kuanza kumchunguza mara moja aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi, Lazaro Nyalandu amejibu.

Leave a Comment