Share

Nyama haishikiki Daresalam

Share This:

Bei ya nyama imepanda jijini Daresalam Tanzania kutokana na wahusika wa uchinjaji kuzuiwa kuchinja kwa kukosa leseni.Hali hii imesababisha kizaazaa kwa watu mbali mbali na hasa mamalishe na wakaazi wa kawaida.Tazama vidio ya Ahmed Juma

Leave a Comment