Share

Obama akutana na viongozi wa EU

Share This:

Rais Obama akutana na viongozi wa Umoja wa Ulaya, Marekani yataka Sudan Kusini kuwekewa vikwazo vya silaha lakini Urusi na China zapinga, wahamiaji haramu 200 kutoka Burundi wakamatwa Tanzania wakifanya kazi kinyume cha sheria. Papo kwa Papo 18.11.2016

Leave a Comment