Share

Odinga apokelewa kwa gesi ya machozi

Share This:

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amerejea nchini Kenya akitokea Marekani. Maelfu ya wafuasi wake wameteremka mitaani kumpokea, lakini wakatawanywa na mabomu ya kutoa machozi yaliyorushwa na polisi kuwazuia kuingia mjini kati.

Leave a Comment