Share

Ofisi nyingine za mawakili zavamiwa Dar es salaam

Share This:

Siku chache baada ya ofisi za mawakili wa IMMMA kuvamiwa na watu wasiojulikana ambapo ilipuliwa na vitu vinavyodhaniwa kuwa ni mabomu, leo tukio jingine lililohusisha ofisi ya mawakilili katika jengo la Prime House imevamiwa na watu wasiojulikana.

Leave a Comment