Share

Ole Ntutu na wabunge 3 waachiliwa

Share This:

http://www.swahilihub.com
Hakimu mwandamizi Enock Cherono aliwaachilia kwa dhamana ya Sh500,000 Seneta Stephen ole Ntutu Kanyinge na wabunge Moitalel ole Kenta, Johanna Ng’eno na Korei Lemein waliofikishwa kortini kufuatia ghasia zilzopelekea watu wawili kufariki mnamo Januari 26. Hakimu mwandamizi Enock Cherono aliwaamuru warudi kortini tena Feburuari 13. Waliamriwa wadumishe amani

Leave a Comment