Share

Ommy Dimpoz ahojiwa kwa saa Tano Polisi DSM

Share This:

September 13, 2017 Mwimbaji wa Bongofleva Ommy Dimpoz alionekana kwenye kituo kikuu cha Polisi Kati Dar Es Salaam akiwa amesindikizwa na watu wengine wawili wakiingia kituoni hapo majira ya Asubuhi, Ommy Dimpoz alionekana akiingia kituoni hapo mida ya saa tano wakati waandishi wa habari walipokwenda kwenye press Conference ya kamanda wa Polisi Mambosasa.

Leave a Comment