Share

ONYO ALILOPEWA WEPA SEPETU BAADA YA KURUDISHIWA DHAMANA YAKE

Share This:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemrudishia dhamana yake msanii wa filamu, Wema Sepetu baada ya kusota gerezani kwa siku 7, huku ikimuonya kwamba endapo akirudia kukiuka masharti ya dhamana basi haitasita kumfutia kabisa.

Leave a Comment