Share

Oparesheni ya ukaguzi wa meli za uvuvi kutoka nje ya nchi unaendelea

Share This:

Mamlaka ya uvuvi na Bahari Kuu hivi karibuni imefanya ukaguzi katika Bandari ya Dar es Salaam ndani ya meli kutoka China ambayo imeomba kibali cha kuvua samaki aina ya Jodari katika ukanda wa Bahari ya Hindi.

Leave a Comment