Share

OPCW yakutana kujadili shambulio la sumu Syria

Share This:

Shirika la kudhibiti silaha za sumu duniani OPCW linakutana kwa dharura mjini The Hague, kujadilia shambulio linalodaiwa kuwa la sumu katika mji wa Douma nchini Syria, ambalo limezidisha mvutano kati ya Urusi na mataifa ya Magharibi. Papo kwa Papo 16.04.2018.

Leave a Comment