Share

Orlando: Polisi afutwa kazi kwa kumkamata mtoto wa miaka 6

Share This:

Afisa mmoja wa polisi anajuta kumfunga pingu na kisha kumweka mahabusu mtoto wa miaka 6.
😢😢
Familia ya mtoto huyo wanasema alikamatwa na polisi wa Orlando Marekani kwa kuwa mtundu darasani….

Leave a Comment