Share

Paa la jengo la Beit ajab ZNZ laanguka kufuatia mvua iliyoambatana na upepo mkali

Share This:

Paa la jengo la Beit-al-ajab moja ya kivutio kikubwa cha utalii Zanzibar limeanguka na kusababisha mtafaruku mkubwa kwa wakazi wa Mjimkongwe.

Leave a Comment