Share

Pacha wa Ne-yo afunguka sababu ya ukimya wake

Share This:

Je unamkumbuka msanii wa Bongo Flava Nemo ambaye wimbo wake wa ‘I Need Wife’ ulikuwa kama wimbo wa taifa? Basi msanii huyo amefunguka sababu ya ukimya wake wa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki na jinsi anavyoona Bongo Flava kw sasa.

Leave a Comment